Burudani

Rihanna kutokea kwenye kava la jarida hili lingine mwezi Disemba

Mwaka 2017 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rihanna katika tasnia ya mitindo. Mrembo huyo anaweza akawa ndio staa aliyekava majarida mengi kwa mwaka huu.

Baada ya mapema wiki hii kuonekana katika kava tatu tofauti za jarida la Vogue Paris ambalo litatoka Disemba 1 mwaka huu, Rihanna ataonekana tena katika kava la jarida la Dazed katika mwezi huo huo.

Jarida hilo limetoa kava nne tofauti za msanii huyo. Tazama hapa chini kava hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents