Burudani

Rihanna na Chris Brown wafikiria kuanzisha familia

Wiki kadhaa baada ya kurudiana, huenda Rihanna na Chris Brown wakaupeleka uhusiano wao mbele zaidi kipindi hiki, kwa kuwa na familia na watoto.

rihanna-elle-2_0

Rihanna ameliambia jarida la ELLE UK kuhusu mwanzo mpya wa mahusiano yake na Chris.Kuhusu mipango ya kuwa na watoto anasema:

“Bila shaka ntakuwa na mtoto. Na nasali niweze kwenda mapumziko kwa mwezi mmoja mzuri. Na nimejiwekea mambo fulani hivyo sina haja ya kufanya tour katika maisha yangu yote yaliyobaki hata kama napenda kufanya tour. Nataka afya na furaha katika miaka mitano. Nataka kuwa mwenye afya na mwenye furaha.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents