BurudaniMichezo

Rio Ferdinand apewa zawadi na Sir Bobby Charlton kwa kuitumikia Man United kwa miaka12

Beki wa zamani wa timu ya taifa ya England na Manchester United, Rio Ferdinand jana alizawadiwa tuzo ya heshima kwa kuitumikia timu yake hiyo ya zamani ya Manchester United kwa miaka 12 kabla ya kuhamia QPR msimu huu.

Queens_Park_Rangers_Engli

Gwiji wa Manchester United, Sir Bobby Charlton ndiye alimkabidhi zawadi hiyo. Tukio hilo lilifanyika kabla ya mechi kuanza iliyokuwa ikichezwa kwenye uwanja Old Traford ambapo Rio alishangaliwa na kupigiwa makofi ya heshima.

Mechi hiyo iliisha kwa Man United kushinda mabao 4-0.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents