Picha

Ripoti: Hillary Clinton ashinda nafasi ya kugombea urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic

Hillary Clinton ameshinda nafasi ya kugombea urais wa Marekani kupitia chama chake cha Democratic baada ya kujikusanyia namba za uwakilishi zinazotakiwa, kwa mujibu wa hesabu za shirika la habari la AP.

DEM_2016_Clinton.JPEG-0e049_c0-64-5298-3153_s885x516

Hata hivyo bado chama chake hakijamtangaza rasmi kwakuwa mchakato wa kuwania nafasi hiyo bado unaendelea. Mpinzani wake kwenye kinyang’anyiro hicho ni Bernie Sanders.

Hadi sasa Clinton amefikisha 2,383 – namba inayohitajika ili kupewa nafasi hiyo. Atakuwa mwanamke wa kwanza kuwahi kuchaguliwa kugombea urais nchini Marekani.

Kutokana na taarifa hiyo, Clinton alitweet:

Hillary

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents