Burudani

Ripoti: Tutegemee kuwasikia Eminem na Pink katika kolabo mpya

Je umetamani kumsikia tena rapper wa kike, Pink kutoka Marekani? Basi kaa tayari kwa ujiowake mpya na Eminem, katika kolabo.

<img src="http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/08/eminem-pink.jpg" alt="" width="700" height="519" class="alignnone size-full wp-image-200370"

Ngoma hiyo ya kushirikiana “Won’t Back Down” inatajwa kuwa kali zaidi katika ngoma za kushirikiana, hayo yamebainishwa na msimamizi wa kolabo hiyo Tony Travatto kutoka kampuni ya iHeartMedia iliyopo mjini Michigan nchini Marekani.

Travatto ameongea hayo katika kipindi cha ‘Mojo in the Morning’ kupitia redio ya Detroit ambapo mtangazaji wa kipindi hicho alivujisha siri na kutangaza kuwa kuna wimbo mpya utakuja hivi karibuni.

Kolabo hiyo inatarajiwa kuwepo akatika albamu mpya ya Slim Shady’s, huku naye rapper wa kike Pink akitangaza kuachia albamu yake ya Beautiful Trauma, ifikapo Oktoba 13.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents