Ripoti ya La Liga ipo tayari- Senzo afunguka mabadiliko Yanga (+Video)

Mshauri wa Yanga SC, Senzo Mazingiza amesema kuwa ripoti yao na La Liga ipo tayari na hivyo anatarajia kuondoka nchini kuelekea Hispania kwaajili ya kwenda kuifuata badala ya kutuma kwa njia ya email kwa kuwa imebeba mambo makubwa hivyo wameona ni bora kwenda huko. Lakini pia amezungumzia maendeleo ya viwanja vyao vya michezo vilivyopo Kigambo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW