Michezo

Roberto Di Matteo ateuliwa kuwa kocha mpya wa Schalke

Kocha wa zamani wa Chelsea, Roberto Di Matteo amepewa jukumu la kufundisha klabu ya Schalke 04.

0,,15786613_303,00

Kocha huyo amepata kazi hiyo baada ya Jens Keller kutimuliwa Jumanne hii kama kocha wa klabu hiyo ya Ujerumani kutokana na mwanzo mbaya wa msimu.

Di Matteo alikuwa kocha wa Chelsea iliyoshinda ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2012, kwa kuifunga Bayern Munich katika uwanja wake wa Allianz Arena nchini Ujerumani. Alikuja kufukuzwa katika msimu uliofuata.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents