Burudani

Roma aachia filamu ya wimbo ‘Mkombozi’, mashabiki wamuita kirusi hatari (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop Roma Mkatoliki ameachia short filamu ya wimbo wake, Mkombozi ambao kwa sasa unafanya vizuri kila kona.

Hatua hiyo ni wiki tatu tu toka aachie video ya wimbo ‘Mkombozi’ ambao amemshirikisha muimbaji OneSix ambaye ameonekana kuuwa sana kwenye chorus ya wimbo huo.

Kwenye short filamu ya Mkombozi, rapa huyo ameua kuonyesha kwa matendo matukio mbalimbali ambayo ameyaimba kupitia wimbo huo hali iliyozua hisia tofauti kutoka kwa mashabiki.

Mashabiki hao wengi wangi wanampongeza kwa kazi mzuri. Haya ni maadhi ya maoni ya mashabiki.

https://www.instagram.com/p/B7vCKUOB1FZ/

NEITHER: Dah mawazo yangu yametimia nikiwaza kwanini usitoe filamu ya huu wimbo, lakini imetoka dah nipo hapa Roma pacha.

HASSAN IVANO: Dah! huyu Roma ni kirusi hatari sana, anajua mpaka anakera.

SARAH AFRO: Mungu isaidie Afrika viongozi wetu waijenge Afrika.

RASHID: Mungu akusimamie Roma, unafanya makubwa sana.

Hata wewe unaweza kutoa maoni yako, acha swali lako baadae tutafanya naye mahojiano akiwa Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents