Burudani

Roma adai kutekwa ni aibu kwa serikali, atia neno kugombea ubunge

Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki wamewata baadhi ya watu kuacha kufikiria kwamba kutekwa ndio kumemfanya arudi kwa jamii na kutoa misaada huku akidai kutekwa sio njia ya kumfunza mtu na ni aibu kwa jamii na serikali kwa ujumla.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents