Burudani

Rommy anayedaiwa kutoka na Shilole amuwasha Uchebe “yule ni chawa tu” (Video)

Mkurugenzi wa kampuni ya production ya House of Memories @rommy3d ambaye kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki na mfanyabishara @officialshilole amefunguka kwa mara ya kwanza ukaribu wake na Shilole ulivyoanza miaka 10 iliyopita.

Rommy amejibu vijembe ambavyo vinarusha na aliyekuwa mume wa staa huyo wa muziki, Uchebe na kudai kwa sasa fundi magari huyo ameishiwa ndio maana ana tapatapa mjini hana chakufanya.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents