Burudani

Romy Jones afunguka kuhusu kile kinachosemekana Harmonize anaringa, na kuonekana kujitenga na wasanii wenzake wa WCB (+ Video)

DJ wa msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Pltnumz anayejulikana kwa jina la Romyjones, amefunuka mwanzo mwisho kuhusiana na kile kinachosemekana Harmonize anaringa na kujisikia.

Ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo5 kuhusiana na hicho hadi kupelekea watu kusema anajitenga na wenzake, Romy Jones ameongelea hilo akiwa kama Vice Presdent wa WCB yaani msaidizi wa Diamond.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents