Romy Jones afunguka kuhusu ndoa ya Diamond na pia tabia ya Tanasha “Mimi ndio msaidizi wa Diamond” (+ Video)

DJ wa msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Pltnumz anayejulikana kwa jina la Romyjones, amefunuka mwanzo mwisho kuhusu ndoa ya Diamond na mchumba wake Tanasha.

Mbali na kuzungumzia hilo pia ameeleza kwanini yeye amekuwa msaidizi wa Diamond (Vice Presdant)

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW