Michezo

Ronaldo awa mwanamichezo wa kwanza Duniani kuvaa kiatu hiki cha Nike HyperAdapt 1.0

Mchezaji Cristiano Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid amewekwa kwenye rekodi hii.

Ronaldo ambaye ni miongoni mwa wanamichezo ambao ni balozi wa kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike, March 17 Nike imemuandika kupitia 101greatgoals.com na kujivunia, kuwa Ronaldo ndio mwanamichezo wa kwanza kuvaa Nike HyperAdapt 1.0, kiatu ambacho ndio kimetoka wiki hii.

Screen-Shot-2016-03-17-at-12.04.38-PM

Video ya Cristiano Ronaldo akiwa na kiatu hicho cha Nike HyperAdapt 1.0

Hii ni video ambayo inaelezea umuhimu raba ya Nike HyperAdapt 1.0

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents