Michezo

Ronaldo kuikabili Man United, City mtelezo makundi Champions League

Droo ya michuano ya UEFA Champions League tayari imefanyika huku miongoni mwa habari zinazo gonga vichwa vya wapenzi wa soka ni juu ya mshambuliaji hatari duniani, Cristiano Ronaldo kuikabili kablu yake ya zamani Manchester United wakati atakapo wawakilisha waajiri wake wapya timu ya Juventus kutoka Italia mchezo wa kundi H.

Wakati habari nyingine inayozunguzwa zaidi na wachambuzi wa soka ni juu ya klabu ya Tottenham kuonekana kuwa kwenye kundi gumu la B katika michuano hiyo ambapo atakula sahani moja na Barcelona,

Huku mabingwa wa tetezi wa ligi kuu England, Manchester City wakionekana kuwa kwenye kundi jepesi zaidi la F wakilazimika kuwakabili Shakhtar Donetsk.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents