Burudani

Ronda Rousey kutopanda ulingoni kwa miezi sita baada ya kupigwa kwa KO na Holly Holm

Ronda Rousey atatakiwa kukaa nje ya ulingo kwa siku 180 kutokana na kupigwa kwa knock-out na Holly Holm kwenye UFC 193 weekend hii.

ronda

Rousey alipigwa vibaya na Holm aliyewahi kuwa mwana masumbwi wa kulipwa na kuivunja rekodi yake ya kutowahi kupigwa. Alishindwa katika raundi ya pili kwa teke kali la kichwani.

Bondia huyo mwenye miaka 28 alipelekwa hospitali nchini Australia.

Kupitia Instagram baada ya mchezo huo, Rousey aliandika: I just wanted to thank everyone for the love and support. I appreciate the concerns about my health, but I’m fine. As I had mentioned before, I’m going to take a little bit of time, but I’ll be back.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents