Tupo Nawe

Rosa Ree alivyojitetea kuhusu video yake chafu mbele ya Bodi ya Filamu. “Nilikuwa sijui kama ni kosa” (Video)

Msanii wa muziki wa kuchana, Rosa Ree mapema leo aliitwa na Bodi ya Filamu Tanzania kuhusiana na video yake chafu ambayo ilikuwa inasambaa mitandaoni.

Bongo5 TV ilizungumza na Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo, Dkt. Kiagho Kilonzo ambapo alisema ni kweli walimhoji rapa huyo na katika utetezi wake, rapa huyo alidai kwamba alikuwa hajui kama nimakosa kuachia video chafu mitandaoni.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW