Tupo Nawe

Rosa Ree alivyotua BASATA kinyonge kisa video chafu, akutwa na makosa matatu (Video)

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemhoji rapa, Rosa Ree kwa kosa la kusambaza video chafu ambayo wamedai haina maadili ya Kitanzania.

Moja kati ya makosa aliyokutwa nayo ni pamoja na kufanya kazi na msanii wa kimataifa bila kuwa na mkataba wa kazi, kutopeleka kazi yake hiyo kukaguliwa pamoja na makosa mengine.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW