Soka saa 24!

Rose Ndauka aomba ajira kwa MC Pilipili ‘natamani anipe kazi, ana mke mzuri sana’ (+video)

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Rose Ndauka ameomba kazi ya kumfanyia usafi kwenye saluni yake ya Connexion mchekeshaji MC Pilipili ikiwemo kumnyoa ndevu na huduma nyingine.

Kwa upande mwingine, Rose Ndauka ambaye aliwahi kuwa Girlfriend wa MC Pilipili amemsifia pia mchumba wa sasa wa MC Pilipili kwa kusema ni mzuri sana kwa muonekano.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW