DStv Inogilee!

Royal yaitimisha wanaandishi na watangazaji

Royol_Tai

Katika msimu huu vyuo vingi vilikuwa vikihimisha kwa graduation, mbalimbali kwa watu kutoka ngazi moja ya elimu kwenda ngazi nyingine. lakini pia katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Tanzania, Royal College of Tanzania nacho kilikuwa kikihitimisha wanafunzi kwa ngazi ya elimu ya cheti na Diploma kwa mwaka 2011.

Wengi wa wanafunzi hao ni waandishi na watangazi, ambao wapo wengine tayari walishakuwa katika vyombo vya habari kuandika ama kutangaza. na wapo wengine ndiyo kwanza wanaingia katika kutafuta vyombo vya habari katika utangazaji. Hii inaonyesha ni jinsi gani kwa kipindi hiki kutakuwa na changamoto kubwa juu ya waandishi kwa kupambana na matukio ya kijamii kwa kuandika habari sahihi na zisizo kuwa na uchochozi…..

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW