Mahojiano

Rubani anayempenda Wema Sepetu afunguka mazito “Nampenda sana Wema na anajua hilo” – Video

Rubani anayempenda Wema Sepetu afunguka mazito "Nampenda sana Wema na anajua hilo" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva DANZAK anayeishi Oman ambaye alitangaza kuacha kazi yake ya urubani na kuingia kwenye muziki wa Bongo Fleva afunguka mazito kuhusu Wema Sepetu.

Kama bado huamini kuwa muziki wa Bongo Fleva umekua basi utakuwa nyuma ya muda kwani Watanzania wanaoishi nje ya nchi hao wameona kuwa kuna fursa ya kuutumia muziki huo kimataifa, kama msanii wa muziki Danzak ambaye yeye ni Mtanzania anayeishi nchini Oman.

mbali na kuongelea suala la muziki wa Bongo Fleva kuwa mkubw apia ameonglea suala la kumpenda Wema Sepetu, Msikilize Danzak:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents