Michezo

Ryan Giggs asaini mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kukipiga Man U

Mchezaji mahiri wa Manchester United Ryan Giggs ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja zaidi kukichezea kikosi cha Manchester United.

Gigss

Mpaka sasa Giggs ameichezea timu hiyo mechi 999 ambapo anatarajia kufikisha 1,000 Jumamosi hii atakapopata nafasi ya kucheza dhidi ya Norwich.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents