Mahojiano

S2kizzy afafanua kuhusu kunyang’anywa gari alilozawadiwa na Rayvanny, Yeye na Hanstone kujiunga WCB – Video

Producer anayefanya vizuri kwa sasa Tanzania ambaye alitengeneza beat ya ngoma ya #quarantine ya WCB wakimshirikisha @diamondplatnumz ametoalea ufafanuzi kuhusu taarifa za yeye kunyang’anywa gari alilozawadiwa na Rayvanny.

S2kizzy alizawadiwa gari na Rayvanny baada ya kutengeneza beat la ngoma ya TETEMA ambayo imapct yake ilikuwa kubwa sana ndani na nje ya nchi.

Mwishoni mwa mwaka 2019 jarida la Forbes liliorodhesha ngoma 10 kutoka Afrika ambazo zilikuwa ni lazima kuzisikiliza na ngoma TETEMA ya Rayvanny ambayo alimshirikisha Diamond Platnumz ilikuwepo katika orodha hiyo na beat lake alikuwa amelitengeneza S2kizzy.

Kwa matokeo hayo makubw aS2kizzy alizawadiwa gari aina ya Mark X.

Lakini pia kuhusu yeye na msanii wa Bongo Fleva Hanstone kujiunga na WCB chini ya Diamond Platnumz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents