Mahojiano

S2kizzy “Diamond tunampeleka namba 1 Billboard Collabo na Wizkid ni balaa, Beat ya Quarantine wazo lilikuwa simu kukosa chaji” – Video

Producer anayefanya vizuri kwa sasa Tanzania ambaye alitengeneza beat ya ngoma ya #quarantine ya WCB wakimshirikisha @diamondplatnumz ameeleza wazo lilivyokuja.

Mbali na hilo @s2kizzy ameeleza kufurahi kuendelea kufanya kazi na @diamondplatnumz kwani anafanya vizuri kimataifa huku mkono wake ukiwepo katika baadhi ya ngoma. “Awamu hii @diamondplatnumz tutampeleka namba moja katika chat za @billboard “

Kuhusu suala la yeye kusainiwa katika lebo hiyo amesema kila Producer anatamani kufanya kazi na Wasafi hivyo kama itatokea kweli atasainiwa kwake safi tu. @s2kizzy ametutonya kuhusu Collabo ya @diamondplatnumz na @wizkidayo huku akiweka wazi kuwa mkono wako ndio umehusika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents