Mahojiano

S2kizzy “Naisubiria kwa hamu ngoma ya Diamond na Wizkid, Wataenda kukaa namba moja Billboard nimeitengeneza mimi” – Video

Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania, S2Kizzy ambaye ndiye aliyefanya ngoma kadhaa za Diamond ikiwemo Quarantine , Baba Lao na nyinginezo ametutonya ujio wa Collabo kati ya Diamond Platnumz na Wizkid ambayo imepita mikononi mwaka.

S2kizzy alisema “Moja ya nyimbo ninazozisubiria kwa hamu ni Diamond na Wizkid, Wataenda kukaa namba moja Billboard nimeitengeneza mimi”

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents