Michezo

Sababu za Yanga SC kuwa Bingwa wa VPL leo

Klabu ya soka ya Dar es salaam Young African, hii leo watajitupa uwanjani kumenyana na klabu ya Mbao FC. Yanga SC ambayo itaingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa na Mbao katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA{ASFC} ushindi ulisababisha Yanga kuyaaga mashindano hayo makubwa yanayotoa mshiriki wa kombe la shirikisho Afrika.

Ushindi katika mchezo wa leo, utawafanya mabingwa hao watetezi mara ya tatu mfululizo wafikishe jumla ya alama 71 katika mechi ya 30, alama ambazo haziwezi kufikiwa na klabu yoyote na hivyo kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa Vodacom kwa msimu wa mwaka 2016/17.

Ratiba ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyotolewa na shirikisho la soka hapa nchini TFF, inaonyesha Michezo itakayochezwa leo tarehe 20.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents