Habari

Sad News: Mtangazaji Zamaradi afiwa na Mama yake mzazi

Zamaradi Mketema.

Mtangazaji wa kituo cha Televisheni Cha Clouds TV Zamaradi Mketema, ambaye hutangaza katika kipindi cha “Take One”, amepata msiba mkubwa baada ya mama yake mzazi kufariki dunia siku ya leo kutokana na ugonjwa wa Kansa ambao amekuwa akiugua kwa muda mrefu kidogo.
Habari hii ni Kwa mujibu wa mtangazaji mwenzake Dina Marios ambaye anatangaza kipindi cha Leo tena, aliyetangaza habari za msiba huo.
Bongo5 .com inapenda kutoa pole kwa mtangazaji Zamaradi, Clouds Media, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents