Habari

Sad: Rapper Collo wa Kenya afiwa na baba yake mzazi

Rapper kutoka Kenya Collins Majale maarufu kwa jina la stage kama Collo a.k.a King wa Rap amefiwa na baba yake mzazi.

Collo-King

Hakuna habari zaidi juu ya msiba huo lakini taarifa hizo zilithibitishwa usiku wa jana (August 7) majira ya saa (8:52 pm) na Collo mwenyewe kupitia akaunti yake ya twitter @collo_KING

Ni siku chache tu zimepita Collo alikuja Tanzania na kufanya collabo na baadhi ya wasanii wa bongo akiwemo Diamond Platnumz.

Tunampa pole Collo kwa kumpoteza baba yake, R.I.P

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents