Michezo

Sadio Mane akabidhiwa namba ya Coutinho, Salah aonyesha uwezo kwenye kikapu

Sadio Mane akabidhiwa namba ya Coutinho, Salah aonyesha uwezo kwenye kikapu

Nyota wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah na Sadio Mane wamerejea hii leo siku ya Ijumaa huko Melwood tayari kwaajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza.

Mane has been given the No 10 shirt at Liverpool, which used to be worn by Philippe Coutinho

Mane raia wa Senegal amekabidhiwa jezi na 10 ambayo alikuwa akiiva Mbrazil, Philippe Coutinho aliyetimkia FC Barcelona na kuachana namba 19 aliyokuwa akiitumia toka alipotoka Southampton mwaka 2016.
Egyptian forward Salah enjoyed playing basketball as he returned to the club's training ground

Jezi namba 10 ndani ya Liverpool imewahi kuvaliwa na wachezaji kama, John Barnes, Joe Cole, Luis Garcia, Michael Owen na Andriy Voronin.

Marko Grujic (left), Sadio Mane (centre) and Mohamed Salah (right) have returned to training

Mane na Salah walikuwa kwenye michuano ya kombe la dunia ambapo waliwakilisha mataifa yao.

Salah (left) enjoys being back in training with Mane (right), who will now wear the No 10 shirt

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents