Tupo Nawe

Sadio Mane sio wa mchezomchezo, Liverpool yenyewe yajipanga kumuongezea dau hili abaki Anfield

Liverpool yajipanga kumpatia Sadio Mane ofa ya pauni milioni 11.5 kwa mwaka ili kumshawishi mchazeji huyo raia wa Senegal kuongeza mkataba wake na kuendelea kusalia Anfield hadi mwaka 2025.

Liverpool are in talked with striker Sadio Mane to extend his contract until 2025

Mane alisaini kandarasi mpya mnamo mwezi Novemba ambao unamfanya kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2023, lakini kutokana na kuonyesha kiwango cha hali ya juu ndani ya miezi 12 na kuipatia Liver taji la Champions League, klanu hiyo inafiria kumpatia ofa nono.

Kwenye mkataba wa sasa kija huyo anavuta mkwanja wa pauni 150,000 kwa wiki hii ni kwa mujibu wa Gazzetta dello Sport, ‘the Reds’ kwa sasa wanatarajia kumuongezea pauni milioni 11.5.

Mane katika michezo saba aliyoanza mpaka sasa ameshafunga jumla ya mabao sita huku magoli manne yakiwa ni kwenye Premier League.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW