Burudani

Said Fella kujitosa kwenye biashara ya album za muziki

Dully Sykes anatarajia kutoa album yake ambapo amekubaliana na meneja wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella kumuuzia master album itakayokuwa na nyimbo zake za zamani pamoja na nyimbo chache mpya.

fella3

Akiongea na 255 ya XXL (Clouds FM), Fella alisema ameamua kuongea na wasambazaji ili wafanye biashara ya album kwa sababu kuna watu wananunua nakala sizizo halali na kwamba mpango huo utaanza mwezi wa tano.

Alisema ataanza na album ya Yamoto Band na kisha album ya Chege na Temba, Berry Black, THT, Barnaba, Shaa na Diamond Platnumz.

Jumla kutakuwepo na album 10.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents