Burudani ya Michezo Live

Sakata la Makambo: Afisa habari, Dismas Ten afunguka ”Heritier Makambo bado anamkataba na Yanga/ ITC yake tunayo hawataweza kumtumia/ Instagram ya Yanga ilibadilishwa jina na kuitwa Barcelona” (+video)

Afisa habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten amefunguka juu ya sakata la usajili wa mchezaji wao, Heritier Makambo na kukiri kuwa ni za kweli ijapokuwa bado kuna mambo ambayo hayakamilika kwa upande wao kama waajiri licha ya timu hiyo kutoka Guinea kumalizana na nyota huyo. Ten amekwenda mbali zaidi na kusema kuwa Yanga inatarajia kufanya mabadiliko makubwa.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW