Michezo

Salah hakamatiki apiga ‘hat-trick’, aongoza kwa mabao EPL na kuiweka Liverpool kileleni mwa msimamo

Nyota wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah amefanikiwa kufunga ‘hat-trick’ kwenye mchezo wa wa ligi kuu England na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 4-0 dhidi ya Bournemouth.

Salah ambaye hakufunga katika michezo mitatu mitatu ameweza kutupia dakika ya (25, 48, 77) kisha Steve Cook akihitimisha karamu hiyo mabao dakika ya (68).

Kwa matokeo hayo yanaifanya Liverpool kuongoza ligi kwa kuwa na jumla pointi, 42 ikifuatiwa na Man City wenye alama 41, wakati nafasi ya tatu ikienda kwa Tottenham wenye 33.

Mabao hayo matatu ya Salah licha kuinfaya Liver kuongoza msiomamo wa ligi bali pia  namuweka katika nafasi ya kwanza kwenye orodha ya wafungaji kwenye ligi hiyo kwakuwa na jumla ya mabo 10 akifuatiwa na Aubameyang.

Mara baada ya kumalizika kwa mechi hiyo Salah ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo ‘Man of the match’.

Vikosi vya timu zote mbili BournemouthBegovic (4), Francis (5), Cook (3), Ake (5), Daniels (5), Lerma (4), Surman (5), Brooks (5), Stanislas (5), Fraser (5), King (5)

Wachezaji wa akiba: Mousset (5), Mings (NA), Rico (NA)

Liverpool: Alisson (7), Robertson (8), Milner (7), Matip (7), Van Dijk (7), Fabinho (7), Keita (8), Wijnaldum (7), Shaqiri (8), Salah (9), Firmino (8)

Wachezaji wa akibaMane (6), Lallana (6), Henderson (NA)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents