Burudani
Salam Zao, Tupogo: Ommy Dimpoz na Nay wa Mitego wapongezana kwa ngoma zao mpya
Nay wa Mitego anaikubali Tupogo ya Ommy Dimpoz. Ommy Dimpoz anaikubali Salam Zao ya Ommy Dimpoz. Basi sawa, Salam Zao, sisi Tupogo.
Nay wa Mitego alikuwa wa kwanza kuonesha kufurushwa na Tupogo na aliamua kuandika Instagram:
“Bonge la ngoma, bonge la kolabo,,, wimbo mkali sanaaaaaa,,, tusaport mziki mzuri. Big up 2u broda @ommydimpoz hujawai kosea kip it up,”aliandika Nay.
Baada ya muda, Ommy naye kupitia Instagram aliandika: ALWayz True Boi Hafichi Anasema na Hizi ni SALaM ZAO kutoka kwa Nay wa Mitego @naytrueboy thank u bLOOD.”