BurudaniUncategorized

Sam Wa Ukweli abainisha chanzo cha ukimya wake na Menejimenti zake (+Video)

Msanii wa Muziki Sam wa Ukweli amebainisha kuwa suala la kilimo limefanya awe mbali kidogo na masuala ya muziki.


Akipiga stori na Bongo5, mkali huo wa ‘Milele’ amesema kuwa licha ya kuwa na mashamba kama matano ila muziki pia ni kitu kinachomuingizia pesa hivyo amerejea kwani hakuna aliyekaa katika nafasi yake na hakuna anyefanya kama yeye.

Pia kuhusu menejiment zake mkali huyo mebaisha sababu iliyomtoa kwa Meneja Maneno ambayo ni baada ya kuona amekuwa kimuziki ila kuhusu Papa Misifa ameeleza kuwa aliondoka hapo baada ya kuona anatumika kwa maslahi ya wtu wengine.


Mkali hiuyo amesema kuwa kwa sasa yupo katika menejiment mpya ambayo ni Team Mtaa kwa Mtaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents