Habari

Samaki Papa ajeruhi mzee wa miaka 73

Terry Selwood mwenye umri wa miaka 73 amejeruhiwa na samaki aina ya Papa ambaye alirukia katika boti yake na kumjeruhi mkono wakati akiwa anavua baharini katika eneo la New South Wales nchini Australia.

Mzee huyo amesema kuwa Papa huyo anayetajwa kuwa na uzito wa kilo 200 na urefu wa mita 2.7 aliingia katika boti yake yenye ukubwa wa mita tano na kumjeruhi mkono wake kwa kutumia sehemu yake ya upanga.

β€œI caught a blur of something coming over the boat and the pectoral fin of the shark hit me on the forearm and knocked me down on the ground to my hands and knees He came right over the top of the motor and then dropped onto the floor,” Terry ameiambia ABC.

β€œHe was 2.7 metres long and about 200 kilos.There I was on all fours and he’s looking at me and I’m looking at him and then he started to do the dance around and shake and I couldn’t get out quick enough onto the gunnel,” ameongeza.

Hata hivyo mvuvi huyo alipata msaada wa kuokolewa na wasamaria wema baada ya kupiga kelele na baadaye kupoteza fahamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents