Michezo

Samatta aeleza kwanini ni Alikiba na malengo ya hiyo mechi (Video)

Mshambuliaji wa timu ya Taifa na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu mtanange wake wa hisani dhidi ya muimbaji Alikiba ambayo utachezeka hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jiijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents