SAMATTA: Alikiba analialia kuhusu refa nilimwambia atafute refa wake hata achezeshe mdogo wake Abdukiba ntamfunga tu (+Video)

chezaji wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Ali Samatta ameendelea kujitapa kuwa yeye ndio mbabe wa mchezo wao na Alikiba huku akiwa na historia ya kushinda michezo mitatu waliyocheza kwa misimu mitatu pia.

Samatta amesem akuwa Alikiba amekuwa mtu wa kulalamika kuhusu marefa akidai kuwa marefa wanahongwa ili afungwa “Nimememwambia Alikiba atafute refa wake hata mdogo wake Abdukiba akichezesha ntamfunga tu”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW