Michezo

SAMATTA: Nawaomba watu wenye Followers wapost sie yangu na Alikiba, tunasaidia jamii tusiangalie tofauti zetu (+Video)

Mchezaji wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Ali Samatta amewaomba watu maarufu nchini kusaidi kupost mchezo wao kati ya Alikiba na Samatta unaotarajiwa kuchezwa jumamosi hii.

Samatta aliongeza kuwa kuna watu wanaogopa kupost wakihisi mimi na Alikiba tutafaidika kumbe sivyo hii ni kwa ajili ya kusaidia jamii, naomba tusiangalie tofauti zetu ukahis wewe una bifu na Samatta ukakataa kutusapoti au una bifu na Alikiba ukakataa kusapoti naomba tushirikiane wote.

https://www.youtube.com/watch?v=EVA5r3br984

https://www.youtube.com/watch?v=Td7TzVO5Poo

https://www.youtube.com/watch?v=jcp8u4VTOYA

https://www.youtube.com/watch?v=AUBsTtpNjoE

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents