Burudani

Sarah wa Harmonize apost picha hii ikimuonyesha ana Ujauzito na kuandika maneno haya (+Audio)

Sarah wa Harmonize apost picha hii ikimuonyesha ana Ujauzito na kuandika maneno haya (+Audio)

Mpenzi wa msanii kutoka lebo ya muzki ya WCB kutoka Tanzania Harmonize akijiita Konde Boy raia wa Italia Sarah ameweza kupost pcha ikimuonyesha ana ujauzito.

Sarah ambye amekuwa kwenye mahusiano na Harmonize kwa kipindi kirefu sasa na ikiwa kwa sasa yuko nkwao nchini Italia kwa madai ya Harmonize baada ya kufanyia mahojiano na kituo kimoja cha habari baada ya kuulizwa inasemekana wameachana na Harmonize alijibu kuwa ” Sara yuko kwao Italia na hawajaachana”

Sara amepost picha hiyo na kuandika ” Make me Smileđź‘‘….Always .K&Q.”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents