Habari

Sasa ajali mpaka mtaani

Ajali_face

Hakika  jambo la ajali sasa hivi limekuwa jambo la kawaida, kuanzia barabara kubwa za kuelekea mikoani, za mjini hivi sasa hadi za mtaani.

Angalia ajali hii ikiwa imetokea mtaani kabisa, kisa gari limeelemewa na mzigo kiasi cha kuanguka.

 

 

Hivi kweli tutafika jamani kama ajali tunafanya sehemu ya maisha yetu, hii ilitokea maeneo ya Mabibo makutano njia ya kutokea
Luanga na kuelekea Manzese.

Ajali2

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents