DStv Inogilee!

Sauti Sol wadaiwa kuiga video ya Kanye West (Run Away)

Wiki hii bendi ya Sauti Sol ya Kenya imeachia video ya wimbo wake wa kwanza Ranger Rover kutoka kwenye albam yao mpya ‘Sauti Sol’.

Video hiyo ilishutiwa nchini Uholanzi.

Hata hivyo wimbo na video hiyo vimepokelewa kwa shingo upande na mashabiki wao wengi wa Kenya huku kuna wale wakisema video hiyo ni copy and paste ya wimbo wa Kanye West, Run Away.

Wakiongena na Capital FM Sauti Sol wamesema“No we did not copy Kanye West’s Runaway video.”

Pamoja na kukanusha kukopi, mmoja wa members wa kundi hilo amekubali kuwa ni kweli video zinataka kufanana japo concept ni tofauti kabisa.

“We hadn’t even noticed. When people started making the comments is when we looked at it and saw the resemblance, but in essence it is very different.”

Haya ni baadhi ya maoni ya watu walioona video hiyo:

“All over Kanye West’s Runaway video… banquet white woman serving u drinks but a Kuku shot in Netherlands lol.”

“Kwani huku nyumbani hakuna scene,wacheni za ovyoooooo….”

“I don’t feel the music nor the video. Sauti Sol can do better than this.”

“I’m so sad right now.. I used to listen to all these guys jams- even the ones without videos- cause the content was real, heartfelt and oozing talent. this is some total misdirection—makes me sad:( please retrieve the passion and authenticity that inspired your first album- I’m not hating by the way.. but for real there are enough pank rock skinny jeans electo-skrillers in Europe.”

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW