Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Sauti Sol wamtambulisha muangola Afrika Mashariki (Video)

By  | 

Kundi la muziki linalofanya vizuri Afrika Mashariki na washindi wa tuzo ya MTV MAMA 2016, Sauti Soul wamemtambulisha msanii kutoka Angola, C4 Pedro katika ukanda huu kupitia ngoma ya’Love Again.’

Msanii huyo anayeitwaye C4 Pedro wamefanya noma mpya inayotumia lugha ya kiswahili na kireno, huku ngoma hiyo ikiwa inazungumzia suala la maoenzi, nyimbo hiyo imetengenezwa na producer aitwaye Kaysha / Sushiraw, huku video yake ikifanywa na director Dj Marcel wa Msumbiji.

Katika mahojiano ambayo msanii huyo wa Angola amefanya na waandishi wa habari amesema, “It was a very rewarding experience working with SAUTI SOL. Ever since we met in Dallas, at the AFRIMMA awards, where we were both honored, the interaction and chemistry were great and we soon realized that we had to collaborate one day.

“The reunion took place again at the MTV MAMA 2016 in South Africa, we were also honored. This happy coincidence resulted into a studio session the day after the award ceremony. It was a pleasure to record with them, because of their musicality, Africanness. Deep down, this African side that I always make a point of including and preserving in my music,” ameongeza.

Nao Sauti Sol wamesema ilikuwa ni ndoto yao ya muda mrefu kufanya kazi na msanii huyo. “Working with C4 PEDRO is a dream come true. He worked tirelessly and did not refrain from expressing himself, hence having incorporated the Swahili and Kenyan language into our personal style,” wamesema Sauti Soul.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW