Habari

Sauti za Busara 2011

Sauti za Busara 2011

 

Kwa taarifa zilizotufikia hapa Bongo5 maandalizi ya tamasha la tisa la Sauti za Busara (Sounds of Wisdom) zinaendeleza vizuri na linategemewa kufanyika vizuri kuliko matamasha yote yaliyopita, kwa mujibu ya waandaji tamasha litafanyika mapema Febuari 9-13 mwaka 2011.

Mbali na kufanyika show na wanamuziki kutoka sehemu mbalimbali za Afrika pia kutakuwepo na African Music Film na documentaries, muziki videos, clips na kutakuwa na maonyesho ya vyakula vya kisili na vinywaji, muziki , nguo, vinyago pamoja na nguo zilizobuniwa na wanamitindo wa kiafrika.

Haya ni baadhi ya majina ya wanamukiziki ambao watashiki katika tamasha hilo la Sauti za Busara 2011: Orchestre Poly Rythmo de Cotonou  kuoka Benin, Blick Bassy Cameroon, Cheikh Lô kutoka Senegal , Otentikk Street Brothers kutoka Mauritius, Kassé Mady Diabaté (Mali)  Kwani Experience, wengine ni (Africa Kusini)  Mlimani Park Orchestra (Tanzania)  Culture Musical Club (Zanzibar) Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar)  Maulidi ya Homu ya Mtendeni (Zanzibar)  Sukiafrica Sukiyaki Allstars  (Various)  Yaaba Funk (Uingereza) Sousou & Maher Cissoko (Senegal/Sweden)  Sinachuki Kidumbak (Zanzibar)  Swahili Encounters Group (Various)  Les Frères Sissoko (Senegal)  GEATA (Ethiopia)  Djeli Moussa Diawara (Guinea)  Groove Lélé (Reunion)  NEWS Quartet (Various)  Vusa Mkhaya & Band (Various)  Nomakanjani Arts (Zambia)   Maureen Lupo Lilanda (Zambia)  Les Go de Kotéba (Cote d’Ivoire)  Djaaka (Mozambique)  Muthoni The Drummer Queen (Kenya)  Lelelele Africa (Kenya)  Bismillahi Gargar (Kenya)  Atemi & the Ma3 Band (Kenya)  Black Roots (Zanzibar)  Sauda (Tanzania)  Tunaweza Band (Tanzania)  Wanyambukwa Artist Group (Tanzania)  pamoja na Tom Diakité (Mali).

There will also be Swahili Encounters 4-days of artistic collaborations, for invited local and visiting musicians and seminars and training workshops, building skills for artists, managers, music journalists, sound and lighting technicians and filmmakers from the East Africa region. Movers & Shakers provides a daily networking forum for local and visiting arts professional

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents