Habari

Sauti za Busara zafana

1_zambia

Sauti za Busara 2011 lilikuwa tukio lililofana zaidi ya mategemeo ya mashabiki na wadau wa muziki waliohudhuria. B5 inakuletea habari katika picha.

2Zambia

Mtoto wa Maureen Lupo Lilanda, akiwa stejini sambamba na mama yake, jambo ambalo lilipendeza mashabiki. Ilionyesha jinsi gani muziki ulivo tamaduni yao.

2Msumbi

Waimbaji toka Mozambique, (Msumbiji) wakitoa burudani iliyofana sana

3msumbiji

4Msumbi

1.Kenya

Muthon The Drummer Queen toka Kenya,akiwajibika. Aliweza kurapu katika miondoko ya kipee, kupiga ngoma za asili, huku akicheza. Aliwavuta mashabiki wa rika zote, na wa mataifa yote kutokana na staili yake ya upigaji uchezaji na uimbaji.

2.Kenya

1Kenya

Lelele kutoka Kenya naye alionyesha uwezo wake wa kuimba taarab asilia, akisindikizwa na wapigaji nguli.

2Kenya

3Kenya

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents