Habari

‘Scorpion’ aongezewa shtaka la pili

Mkurugenzi wa mashtaka (DPP) amemuongezea shtaka lingine mshtakiwa Salumu Njwete maaarufu kama ‘Scorpion’ na sasa atakuwa akikabiliwa na mashtaka mawili Ya unyanga’nyi wa kutumia silaha na kujeruhi.

ngepicha

Wakili wa serikali Nassoro Katuga alimuongezea Salum shtaka hilo Jumanne hii kabla ya kusomewa shataka lake la awali, huku hakimu wa mahakama hiyo Flora Haule akiahirisha kesi hiyo hadi Disemba 14 itakaposikilizwa tena.

Mshtakiwa huyo yupo rumande kutokana na moja ya kosa linalomkabili kutokuwa na dhamana.

BY: EMMY MWAIPOPO

CHANZO: MWANANCHI

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents