Michezo
-
Kocha wa Simba Patrick Aussems “Tumepangiwa kundi laini sana”
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Mbelgiji Patrick Aussems amefunguka kuhusu kundi ambalo timu yake ya Simba imepangiwa yaani kundi…
Read More » -
Alikiba aeleza alivyojisikia baada ya kufunga goli lake la kwanza,alifananisha na goli la Pirlo (+Video)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mchezaji wa timu ya Coastal Union ya mkoani Tanga Ally Salehe Kiba alimaarufu…
Read More » -
Cheka afunguka baada ya kudundwa ‘Sijui kilichotokea, nilijikuta tu niko chini’
Bondia Francis Cheka amekubali yaishe kwa Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) baada ya kuchapwa kwa Knock Out raundi ya sita ya…
Read More » -
Manara atuma salamu kwa Mwana FA ‘Engineer Mwana FA soma hiyo, Ferrari ndio hadhi ya msemaji mkubwa’
Ikiwa imepita siku moja tu ,tangu klabu ya Simba kupata matokeo mabaya ya kufungwa jumla ya mabao 3 – 2…
Read More » -
Ole Gunnar Solskjaer amwagia sifa Paul Pogba ‘Huyu ndiye Paul ninayemfahamu mimi’
Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa kiungo wake, Paul Pogba ameanza kurejewa na furaha huku akiamini kuwa…
Read More » -
Manara afunguka sababu zilizopelekea Simba SC kufungwa na Mashujaa FC
Msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara amefunguka sababu za klabu hiyo kupokea kichapo cha goli 3-2 kutoka kwa…
Read More » -
Wayne Rooney afunguka mazito kuhusu Mourinho ‘Alichukiwa hadi na wadada wa jikoni’
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney amesema anaamini kuwa wafanyakazi wengi wa timu hiyo hawakuwa na furaha na Jose…
Read More » -
Mfahamu mrithi wa Pochettino ndani ya Tottenham kama kocha huyo atajiunga na Manchester United
Inaelezwa kuwa endapo klabu ya Tottenham itaondokewa na kocha wake, Mauricio Pochettino kuhamia Manchester United basi Eddie Howe anatarajiwa kurithi mikoba yake. Kocha…
Read More » -
Guardiola amtetea Mourinho ” Niko upande wake, namuombea atarudi tena kazini”
Meneja wa klabu ya Manchester City Mhispania Pep Guardiola amefunguka mengi baada ya kocha aliyekuwa jirani yake Jose Mourinho kuamua…
Read More » -
Jose Mourinho afukuzwa kazi Manchester United
Kocha Jose Mourinho ameondelewa katika nafasi yake ya kuinoa klabu ya Manchester United baada ya kuiona klabu hiyo kwa miaka…
Read More » -
Manchester United itawagharimu kiasi hiki cha fedha endapo watamtimua, Mourinho
Klabu ya Manchester United italazimika kutoa kitita cha pauni milioni 24 kama wataamua kumfuta kazi kocha wao Jose Mourinho kabla…
Read More » -
Mourinho aeleza sababu za kumuweka Pogba benchi dhidi ya Liverpool, asema afurahishwa na Lingard,Mata na Herrera
Kocha wa klabu ya Manchester United Mreno Jose Mourinho amefunguka mengi kufuatia kupoteza mchezo wake dhidi ya Liverpool katika dimba…
Read More » -
Simba, Mtibwa Sugar zaambulia kichapo ugenini
Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba wamekubali kupokea kichapo cha magoli 2 – 1 dhidi ya…
Read More » -
‘Ndoto zangu kubwa ni kutwaa Premier League zaidi kuliko hata Champions League’ – Olivier Giroud
Mchezaji wa Chelsea, Olivier Giroud amesema kuwa hajakata tamaa ya kutwaa taji la ligi kuu nchini Uingereza kwakuwa ndiyo ndoto…
Read More » -
Hizi ndio sifa zilizomfanya Mo Salah kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa mwaka 2018 wa BBC
Mshambuliaji wa timu ya Liverpool na Misri, Mohamed Salah amenyakua kwa mara ya pili mfululizo tuzo ya Mwanakandanda Bora wa…
Read More »