Habari

Sehemu ya hotuba ya Makamu wa Rais baada ya kutua Iringa (+Video)

Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan Mara baada ya kuwasili mkoani Iringa , alifungua wodi mpya katika Zahanati ya Kising’a ambapo aliwaomba wananchi wote wajiunge na mfuko wa Bima ya Afya ili waweze kunufaika na huduma bora za afya.Tazama sehemu ya hotuba yake:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents