Michezo

Serena na Venus Williams waibuka na ubingwa wa pamoja Wimbledon

Madada wa Marekani, Serena na Venus Williams jana waliibuka na ubingwa wa pamoja kwenye mchezo wa tennis wakiwa pamoja Wimbledon.

361CAA4D00000578-3682453-image-a-38_1468092477383

Walikuwa wakichuana na Timea Babos na Yaroslavl Shvedova.

361B5F8700000578-0-image-a-4_1468088006086

Ushindi wao ulikuwa wa seti 6-3, 6-4 katika mchezo wa saa moja na dakika 27. Ushindi huo umekuja baada ya Serena kuchukua ubingwa wa Wimbledon kwa seti 7-5, 6-3 dhidi ya Angelique Kerber.

361CBF1700000578-3682453-image-a-1_1468099958330

361B5F9F00000578-0-image-a-6_1468088017159

361B699B00000578-3682453-image-a-12_1468089829081

361CABF300000578-3682453-image-a-47_1468092570362

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents