Michezo

Serena Williams kuweka wazi kuhusu kushinda Australian Open 2017 akiwa mjamzito

Serena Williams amepanga kuweka wazi kila kitu huhusu alivyokuwa anajisikia na hofu yake wakati anachukua ubingwa wa Australian Open mwezi January mwaka jana kwa kumshinda dada yake Venus huku akiwa na ujauzito wa siri.

Serena ataweka wazi hayo kupitia docu-series yake ambayo inaitwa Being Serena.

Lakini kupitia kipande cha video alichoweka kwenye mtandao wa Twitter, mcheza tenisi huyo amsema, “I was like, How am I going to get through this.”

Docu-series hiyo Serena amezungumza mambo mengine ya maisha yake ikiwemo ndoa. Being Serena itaanza kuruka hewani Mei 2 ya mwaka huu kupitia HBO.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents