Michezo

Serengeti Boys vs Mali ngoma droo

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imetoka sare tasa ya bila kufungana dhidi ya timu ya Mali katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya Mataifa ya Afrika, Mchezo uliopigwa katika Uwanja wa l’Amitie Sino mjini Libreville nchini Gabon.
Dakika ya 92: Mali walipata kona, ikapigwa kuelekea langoni la Serengeti Boys lakini kipa wa Serengeti akafanya kazi nzuri na kudaka.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents